Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Na refresh mind nikisubiria game hapa
Umetandaza mkeka?

Ukiitika na ile 100K mliyokuwa mnaniitia basi leo mambo pooowa. Ukijumlisha na Forex ni fulu magego tu wallahi Masaki Peninsula money loves me [emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️ (Nimeshahakikishiwa no ignore list wallahi)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
 
NYOTA wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo sasa ni mali klabu ya Juventus ya Italia. Habari ndio hiyo. Ni kwamba, Ronaldo amesaini mkataba wa miaka minne na mabingwa hao wa kihistoria wa Series A.

Sasa hakuna kificho, kuanzia msimu ujao wa 2018/19, mshindi huyo wa tuzo tano za Ballon D'or atavaa jezi nyeupe na nyeusi na sio nyeupe iliyozoeleka. Taarifa za Ronaldo kuhamia Italia zilianza kuzagaa majumaa kadhaa iliyopita.
 
Taarifa hizo zinasema kuwa Ronaldo amesaini mkataba wa miaka minne kuitumikia bibi kizee cha Torino, wenye thamani ya Pauni milioni 105. Tetesi hizo zilitiwa nguvu na kikao kati ya wakala wa mreno huyo, Jorge Mendes na Rais wa Real Madrid, Fiorentino Perez.

Mazungumzo kati ya Juventus na Real Madrid yakaanza rasmi. Baada ya kung'olewa na timu take ya ureno kwenye michuano ya Kombe la Dunia, duru za kuaminika zikasema Ronaldo ameonekana Italia.
 
Sababu za kuondoka kwa Ronaldo, mwenye umri wa miaka 31, pale Santiago Bernabeu, zinadaiwa kuwa ni kutoafikiana na Perez kuhusu mkataba ambapo Ronaldo alitaka mkataba wake uboreshwe, huku sababu nyingine ikiwa ni tetesi za ujio wa Neymar.
 
Itakumbukwa kwamba, mara baada ya kuiongoza Los Blancoz kutwaa ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya mara tatu mfululizo, Ronaldo alinukuliwa akisema kuwa, taji hilo ndio LA mwisho kuishindia Real Madrid huku akiwashukuru mashabiko licha ya baadae kuzikana.
 
Itakumbukwa kwamba, mara baada ya kuiongoza Los Blancoz kutwaa ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya mara tatu mfululizo, Ronaldo alinukuliwa akisema kuwa, taji hilo ndio LA mwisho kuishindia Real Madrid huku akiwashukuru mashabiko licha ya baadae kuzikana.
 
Didier Deschamps amewataka wachezaji wake kufia uwanjani katika mchezo wa leo wa nusu fainali dhidi ya Ubelgiji.

Kocha huyo wa Ufaransa, alisema leo ni kufa au kupona kwa nyota wake, lakini lazima ushindi dhidi ya majirani zao upatikane.
 
Ufaransa na Ubelgiji zinajitupa uwanjani kuwania pointi tatu muhimu ili kukata tiketi ya kufuzu fainali ya Kombe la Dunia mwaka huu.

Nahodha huyo wa zamani aliyeipa Ufaransa ubingwa wa dunia mwaka 1998, alitoa kauli hiyo wakati wa mazoezi ya kikosi hicho leo kabla ya kuivaa Ubelgiji saa tatu usiku.
 
Leo tuna nafasi ya kucheza fainali ya Kombe la Dunia. Tunapaswa kufanya kila njia kupata ushindi,” alisema nyota huyo wa zamani wa Chelsea.

Alisema hakuna sababu ya kushindwa kupata ushindi katika mchezo huo kwa kuwa ana kikosi bora cha kushindana.
 
Mashabiki wa Ubelgiji matumaini yao ni ushindi tu katika mechi yao ya leo Jumanne dhidi ya Ufaransa saa tatu usiku.

Wabelgiji wamekuwa wakikatiza mitaa mbalimbali ya Moscow wakiwa na bendera zao kuashiria kuwa leo haponi mtu.

Jambo la ajabu ni kwa mashabiki wasiokuwa na timu, wamekuwa na wakati mgumu kujua siku ya leo washabikie timu gani kutokana na ubora wa kila timu.
 
Mfanyabiashara mmoja anayemiliki baa amesema inamuwia ugumu hasa mashabiki wanaofika hapo, jambo ambalo limemlazimu kupamba baa yake nusu kwa nusu.

Upande mmoja wa baa hiyo imewekwa bendera za Ubelgiji, na mwingine umewekwa bendera za Ufaransa.
 
Mfanyabiashara mmoja anayemiliki baa amesema inamuwia ugumu hasa mashabiki wanaofika hapo, jambo ambalo limemlazimu kupamba baa yake nusu kwa nusu.

Upande mmoja wa baa hiyo imewekwa bendera za Ubelgiji, na mwingine umewekwa bendera za Ufaransa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…