Itakua amefariki
Big Sam ametimulia au ameondoka mwenyew,,, Hahah aisee yule mzee anajua sana huwa anachukua timu zikiwa kwenye hali ya kushuka daraja akiisaidia then anasepa zakeMkufunzi mpya wa Everton Marco Silva yuko tayari kumnunua Zaha, 25. (Mirror)
DuhPoa poa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muda bado[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo sijui ila sio huyu kocha wa ubelgiji ndo alikua wa everton?maana sikufatiliaBig Sam ametimulia au ameondoka mwenyew,,, Hahah aisee yule mzee anajua sana huwa anachukua timu zikiwa kwenye hali ya kushuka daraja akiisaidia then anasepa zake
France 1-0 Belgium. Umeweka ngapi kwa Belgium ? Mpira haujaisha usiogopeLazima
[emoji23][emoji23][emoji23]kamali dhambiFrance 1-0 Belgium. Umeweka ngapi kwa Belgium ? Mpira haujaisha usiogope