[emoji3] [emoji3] [emoji3] usiogope mkuu mpira ni dk 90. Lolote linawezekanaHawa Belgium wanataka kunilaza mapema
Ndio hivo inabidi tujiliwazeMaliwazo ya kujiliwaza[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli aiseeB sababu ya jay z
Hahahahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umeanzaaaPyaar ni zaidi ya google
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe ni nomaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umeanzaaa
Baada ya kutoka Everton kwenda Bergium,, nafasi yake pale Everton alichukua huyo Big Sam Sam Allaydice ambaye alikuwa kocha mkuu wa England kabla ya kutimulia nafasi yake kuchukuliwa na Southgate huyo aliyopo hv sasaHapo sijui ila sio huyu kocha wa ubelgiji ndo alikua wa everton?maana sikufatilia
Muda badoHawa Belgium wanataka kunilaza mapema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe ni nomaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umeruka kiunzi
Walitorosha vya kutosha GGM, Buzwagi ...leo wanaifunga Ulanga.
Aah thank u kwa infoBaada ya kutoka Everton kwenda Bergium,, nafasi yake pale Everton alichukua huyo Big Sam Sam Allaydice ambaye alikuwa kocha mkuu wa England kabla ya kutimulia nafasi yake kuchukuliwa na Southgate huyo aliyopo hv sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa Belgium wanataka kunilaza mapema