Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni hivi;
Nilisema 1st half under 0.5
Ina maana hiyo ni total goals kwa timu zote baada ya mchuano wa dakka 45...

Baada ya dakka 45 hizo wasipofungana =0:0 mkeka unakuwa umetick...
Endapo timu yoyote ile itafunga, let's say Ufaransa wapate goli 1, Belgium 0.. hapo mkeka unakuwa chanuuu.....(kwa kipindi cha kwanza)
**********************************
Endapo umeweka over 0.5 (first half...)
Magoli yapatikane kuanzia moja na kuendelea bila kujali magoli yote yamefungwa na timu moja ama wote...
Nmekuelewa Pyaar,,, shukrani sana[emoji120] [emoji120] [emoji120] ,,,japo haubet [emoji23]ila umenpa maelezo mazuri sana
 
Mkufunzi wa Arsenal Unai Emery yeye mwenyewe alimshawishi kiungo wa kati wa Lorient na Ufaransa Matteo Guendouzi, 19, kujiunga na Arsenal badala ya Paris St-Germain Borussia Dortmund. (L'Equipe - via Metro)
 
Kiungo wa kati wa Liverpool Allan Rodrigues de Souza, 21, ameelekea Marekani na klabu ya Ujerumani ya Eintracht Frankfurt kabla ya uhamisho wake wa mkopo katika klabu hiyo ya Bundesliga club. (Liverpool Echo)
 
Chelsea, Tottenham, Manchester City, Barcelona na Inter Milan huenda wakamkosa mshambuliaji wa Nigeria ,20, Taiwo Awoniyi, ambaye anatarajiwa kutia saini mkataba mpya na Liverpool ambao utamfanya kuelekea Monaco kwa mkopo (Teamtalk)
 
Newcastle United imejiunga katika kinyang'anyiro cha kumsaini kiungo wa kati wa Sporting Lisbon na Ureno Bruno Fernandes, 23. (A Bola - via Sportslens)
Manchester United wametuma maskauti kumtazama mshambuliaji wa klabu ya Molde na Norway, 17, Erling Haaland, mwanawe kiungo wa kati wa zamani wa Manchester City na Leeds Alf-Inge Haaland. (Mirror)
 
Newcastle na Tottenham huenda wakamkosa mshamnbuliaji wa Nice na Ufaransa Alassane Plea huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 akitarajiwa kuelekea katika klabu ya ligi ya Bundesliga Borussia Monchengladbach. (RP-Online)
 
Back
Top Bottom