[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona nilivyopewa ile shule juu ya Over na Under 0.5 kwenye betting tips??kabla ya hapo alisema km kuna mtu kaweka Under 0.5 basi mkeka umetik,, baada ya 1st half akasema mkeka umetik...
Game ya kesho mapema tu,, naomba anipe muongozo nitandaze mkeka [emoji23][emoji23][emoji23]
Wasubiri mwaka 2022 Qatar kama ambavyo Tanzania inasubiri. miaka minne ijayo napo parefu banaBelgium matumbo moto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuuMuwe na usiku mwema
HaiwezekaniKesho england out
Tuombe uzima tuwepo [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Wasubiri mwaka 2022 Qatar kama ambavyo Tanzania inasubiri. miaka minne ijayo napo parefu bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu unaua[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],, twendeSasa miye unaniacha. Asubuhi mlinipa matumaini sana [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Pyaar njoo pm uchukue zawadi yako