Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona nilivyopewa ile shule juu ya Over na Under 0.5 kwenye betting tips??kabla ya hapo alisema km kuna mtu kaweka Under 0.5 basi mkeka umetik,, baada ya 1st half akasema mkeka umetik...Umeona ee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Game ya kesho mapema tu,, naomba anipe muongozo nitandaze mkeka [emoji23][emoji23][emoji23]