Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SERIE A
Kwenye Ligi Kuu Italia, Juventus na Inter Milan ndizo zenye wachezaji zaidi ya mmoja, ambapo Juve wakali wake waliotinga hatua ya nusu fainali ni Blaise Matuidi na Mario Mandzukic wakati kwa Inter nyota wake ni Marcelo Brozovic na Ivan Perisic.