Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwenye Ligi Kuu England msimu uliopita, alishindwa kidogo tu kubeba Kiatu cha Dhahabu baada ya kufunga mabao zaidi ya 30 akiwa na kikosi chake cha Tottenham Hotspur. Kane ni jina unalotarajia kuliona kwenye orodha ya wanaowania Ballon d’Or kwa mwaka huu.