[emoji3] [emoji3]Mbappe ndiyo nani bro?
[emoji3] [emoji3]Mbape kanifurahishaaaaaaaaaaa mno sina cha kumlipa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ungefuata ushauri wake poti wako sasa hivi ungekuwa fulu magego wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ile ishu ya mchana iliishia wapi? Mliiahirisha ama?
Nimechekaa bila kufungua mdomoo jaribu na ww uone utakavoambiwa c utemee
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]UFARANSA[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]2018
Miaka 4 ijayoBelgium siku ingine....
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]UFARANSA [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hamjui, hapa kuna watu hawajui habari za soka[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]I mean mbape bro au ulikua Belgium