Hahah unaikumbuka hiyo ""...!? hiyo ngoma balaa sanaAisee hatari sana
HahahahaGmorning team Belgium
Kabisa...Croatia kinchi kilichookana na Yugoslavia ya zamani kinataka kuandika historia, kila kitu kinawezekana. Ni juu yao kusimama imara kuliweka jina lao juu barani ulaya na Duniani kwa jumla
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Viva France ...""