mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Morning team FranceGmorning team Belgium
Hainogi mkuuDunia bila unafiki inawezekana tu
Zawadi yako ipo pale palePole sana...Lakini risk takers hiyo kitu kidogo sana....Tuangalie yajayo..
Zawadi yangu?
Mkeka kama kawaida hila timu ya kushabikia Leo sina tangu kuanza kwa WC mimi nilikuwa team Belgium kutolewa kwao sikupenda japo kimahesabu nilijua kumpiga muhindi ni kuipa France tu hamna namnaMkeka je?
Hapo tena ninavyopenda pesa siwezi acha mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weka mzigo utengeneze fedha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
I missed u more, uzima upo?hahaha weee mtu I miss you "...
Poa mkuuOyoooo...Niaje ""!!?
YapGood
Akili kubwa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwambie mwenzio...Hivi kaimba nani vile?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Zawadi yako ipo pale pale
Sawa sawa...Hiyo ndo tunasemaga roho ngumu.Mkeka kama kawaida hila timu ya kushabikia Leo sina tangu kuanza kwa WC mimi nilikuwa team Belgium kutolewa kwao sikupenda japo kimahesabu nilijua kumpiga muhindi ni kuipa France tu hamna namna
Mkuu kwenye haya mambo mimi sijisifu ni mtaamu sana napiga daily lakini kwenye timu unayopenda ikifungwa lazima uumieZingatia ushauri wa mtalaam Pyaar
Au naongopa ??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lete ushauriUnajirisk si kidogo...Nikutengenezee mkeka?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hapo tena ninavyopenda pesa siwezi acha mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]