mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yaani kwenye betting unaangalia ukweli nani anauwezo wa kushinda game hata kama timu uipendi unaipa tu reality unaumia timu yako kufungwa lakini pesa mbele kama taiSawa sawa...Hiyo ndo tunasemaga roho ngumu.