mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hii ni GB
Hii ni GB
Yap hii ni England
Scotland
Mkuu mambo vipi09:00
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakuamini mkuu[emoji3] [emoji3]Amenilaza mapema sana lakini another side mkeka uko poa
Team France morning hongera sanaMbinu hii ikitumika leo, England hawatokuwa salama! Nasema wajukuu wa Malkia watapata tabu sana pale Luzhniki. Ukiachana na viungo hawa, kikosi cha Croatia kinajivunia uwepo wa Madam Rais Kolinda huko jukwaani
Kwema mamie?Hahahahaha
Zingatia ushauri wa mtalaam PyaarLeo sina timu ya kushabikia lakini naweka mkeka kwa Croatia
Unajirisk si kidogo...Nikutengenezee mkeka?Leo sina timu ya kushabikia lakini naweka mkeka kwa Croatia
WatiCROATIA..
![]()
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Aiseee kila kona France
DuSisi ni wataalamu wa kuzaliana bwana
Chai ya iriki na abdalasin with lemon kidogo kutoa mambo yetuasubuhi ya chai...
Salama mkuu za siku?Mambo vipi ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zingatia ushauri wa mtalaam Pyaar
Hahaahahaha tupo bhanaUbelgiji leo wamechelewa kuamka...
MorningGood morning everyone
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Unajirisk si kidogo...Nikutengenezee mkeka?
Safi mkuu, kwema?Mambo vipi?