mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yaani kwenye betting unaangalia ukweli nani anauwezo wa kushinda game hata kama timu uipendi unaipa tu reality unaumia timu yako kufungwa lakini pesa mbele kama taiSawa sawa...Hiyo ndo tunasemaga roho ngumu.
Hahaha mkuu uko sahihi kabisaAu naongopa ??
Vijana wetu wanawaza ngono 24/7
Sawa kiongoziMkuu kwenye haya mambo mimi sijisifu ni mtaamu sana napiga daily lakini kwenye timu unayopenda ikifungwa lazima uumie
Final ya champion uefa nibet virse versa
Naaam Niko vyema haswaaa""... hofu kwako ""I missed u more, uzima upo?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Yaani kwenye betting unaangalia ukweli nani anauwezo wa kushinda game hata kama timu uipendi unaipa tu reality unaumia timu yako kufungwa lakini pesa mbele kama tai
Sasa jamii inayowaza pombe na ngono huwa haifiki mbali sana.Hahaha mkuu uko sahihi kabisa
Kwema kabisa mkuu,Kwema mkuu?
Sawa sawaYaani kwenye betting unaangalia ukweli nani anauwezo wa kushinda game hata kama timu uipendi unaipa tu reality unaumia timu yako kufungwa lakini pesa mbele kama tai
Mie mzima kabisaNaaam Niko vyema haswaaa""... hofu kwako ""
Fresh sana, niaje aisee?Mkuu mambo vipi
Asante kwa hii habari njema ""Mie mzima kabisa
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Asante kwa hii habari njema ""
sawasawa mkuu..Sasa jamii inayowaza pombe na ngono huwa haifiki mbali sana.
Ngono ni Social need lakini ikizidi linageuka tatizo.