Medecin
Platinum Member
- Nov 29, 2011
- 8,836
- 24,344
- Thread starter
- #76,481
Wazo zuri mkuu maana twateseka etiNina imani wanaume bado hatujapata vazi zuri la kusitiri maeneo nyeti!
Kuna haja ya kulitazama upya vazi la suruali.
Ikiwezekana huko mbele liinuke kama mwavuli.
Watu wanateseka sana kwa kusawazisha maeneo pendwa.