mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Poa mkuuWeka post niweke like
Poa mkuuWeka post niweke like
Usijali ,tupo pamoja mkuu tukilisongesha na wadauNimefarijika kukuona hapa mkuu
kumbe tu majirani kabisa.... karibu mkuranga ndo kwetuOk karibu kibiti ndio kwetu...
Mkuu nasikia una tushamba Ikwiriri... Usinisahau kuniuzia hata tuheka tuwili tu.Haaaa haaaa haaa asante mkuu niliwamiss ile mbaya nilikuwa shamba wakuu now I'm back
Hahaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu hatari wewe
Nina imani wanaume bado hatujapata vazi zuri la kusitiri maeneo nyeti!Wanaume eti kwann mikono mfukoni?View attachment 533688
Napenda kutumia number 4.
Hahaaa nipe no yako nikufuate..kumbe tu majirani kabisa.... karibu mkuranga ndo kwetu
Karibu mkuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] je, je, jeje unapendaaa, aaaaaa unapenda utafutiweeee?Haaaa haaaa haaa asante mkuu niliwamiss ile mbaya nilikuwa shamba wakuu now I'm back
Asante kwa hiloHata sijaenda nipo hapahapa