Wazo zuri mkuu maana twateseka etiNina imani wanaume bado hatujapata vazi zuri la kusitiri maeneo nyeti!
Kuna haja ya kulitazama upya vazi la suruali.
Ikiwezekana huko mbele liinuke kama mwavuli.
Watu wanateseka sana kwa kusawazisha maeneo pendwa.
[emoji15] [emoji15]Unajua sijakuona kule
Karibu mkuu. Ila jitahidi saaana kufuata sheria, na kuna sehemu zingine haziingiliki watu tumewekeza.Hodi humu maana nimekuwa mgeni kitambo sijaingia humu nilikuwa shamba wakuu
Niambie dogo langu...Dogo
Za miaka?Niambie dogo langu...
Mkuu nina uhakika mafile utakuwa umeyapitia. Kuna mtu kajiinuaNilifikiri mwanaume. Ooops. Bila shaka waungwana walishajichangamkia...
Me? Are you sure sis? Asante sana!Hongera kwa kuingia 20 bora
Hahaa hii ishanitokea sana
@mandray akili zake anazijua mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]Una Govi acha ubishi..
I like tough girls [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Don't get me wrong. ...I like it....not many people wanazodoa positively.....
Ngoja mida mida twende nitakuoneshaUzi wenyewe siuoni[emoji17]
Kabisa mkuuDah sio mchezo mkuu hii ni homa ya jiji