moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Shwari, vipi kwemaMkuu vipi?
Shwari, vipi kwemaMkuu vipi?
Kwema mkuuShwari, vipi kwema
Kaburi hata kama limezikwa Sirari hapa linafukuliwa tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Uzuri wa jf kwa kufukua makaburi haijambo
Duuu, ndo kwanza napasikia [emoji3] [emoji3]Pwani....Kisarawe-Kazimzumbwi
Kweli mkuu wacha nijiite iddiTengeneza pesa tuu .. Africa tuna billionaires wachache sana, ni rahisi kuandikwa forbes. Jipange tu Chief
Tumepoapoleni wakulima wooote
Hahahahaha, kumbe hajakuibia!!!? Nilishangaa ulipomkomesha!![emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Moud bwana, wala sina tatizo nae.
Huyo Tanzania yote pamoja na makabila yake anayafahamu vzr,,, anaweza taja kijiji hcho tena kile cha ndani kabsa,, [emoji16]Duuu, ndo kwanza napasikia [emoji3] [emoji3]
Ya yah .. Gues ni hiyo. Hawa kina dada wa kazi hii wanamaisha ya ajabu kidogo .. Pengine hata ile kubadili vipodozi, mazingira mara nyingi nyingi inaweza kua sababu pia. Makeups na vipodozi pia hutumiwa kulinga na mazingira/hali ya hewa ya sehemu husika.[emoji23][emoji23][emoji23] just utani bro,,, ila pointi ya msingi hapa kwann wanapata sana saratan ya matt na ngozi,, inaweza kuwa vipodozi wanavyotumia hii ni hatari sana