moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kutokana na njaa njaa tulizonazo, na maadili kuporomoka leo inafika mahali hata kama mtu anajitoa kufanya lolote kwa nia njema jamii inatuhumu mambo mengine. Tumefika mahali pabaya sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Moud bwana, wala sina tatizo nae.