mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
ISIS
dah! hatariKutokana na njaa njaa tulizonazo, na maadili kuporomoka leo inafika mahali hata kama mtu anajitoa kufanya lolote kwa nia njema jamii inatuhumu mambo mengine. Tumefika mahali pabaya sana
Si mchezoSio poa weweView attachment 807316
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Majukumu safi au haramu?
Mkuu moud wapi Bob12 ,wapi HARUFU ,wapi Ho chi Minh ,wapi carbaSi wazima, hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yetu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hapo sasa, lazima umwage chozi....
Ukilelewa kwenye udaku na mipasho kila kitu kitaenda kwa mwendo huo bila kujali umuhimu wa kitu husika. Tuvumulie tuKwa tuliokwenda kusoma na tukaamua kubobea kwenye maeneo machache hasa eneo la "BRANDING" tunapata shida sana.
Hivi ni kweli kuwa hii ndege mpya inayotarajiwa kuwa imeandikwa "HAPA KAZI TU"?Kama ni kweli nadhani tujadiliane kama imekidhi vigezo vyote vya "Marketing strategy" pamoja na "How to establish brand".
1.Nadhani hii ndege imelenga sana soko la kimataifa na siyo soko la ndani,sijui kwa nini kama hii ni kweli,wanamkakati wameamua kutumia "Local slogan" kama tunazozishuhudia kwenye mabasi ya ndani ambayo ndiyo tumezoe kuona yameandikwa,MTAJIJU,BABA YAKO ANAYO?,NA BADO,WEWE UNANISEMA MIMI NAINGIZA n.k.
2.Slogan tunaambiwa ni vizuri ikatengeneza "Sense of ownership" ama "We feeling" pamoja na Positive Emotion appeling kwa watu.
3.Kwa nini tusingetuma Slogan ambayo ingeenda kuitangaza Tanzania na vivutio vyake?Watanzania tunafahamu kama"The most amazing place in the world"ipo Tanzania?,tunafahama,"Fresh water" duniani baada ya ile ya Urusi inapatikana Tanzania?Kwa nini tusije na "Slogan"ambayo ndege hii ikikaa pale Frunkfurt,ama Amsterdam,ama Washington,ama Quatar,itasaidia kuuuambia Ulimwengu kuwa,"The most amazing place"ipo Tanzania?Nawaza kwa unyenyekevu.
Hebu Tanzania walichokifanya Rwanda,wamekwenda London na kuandika kwenye jezi za Arsenal,"VISIT RWANDA"unaiona mantiki.
4.Kikubwa nilichokiona kwenye"Slogan" hii naona ni suala zuri na lina hitaji mjadala pia tumetumia Kiswahili,tumekiuza Kiswahili,hili laweza kuwa jema lakini bado tujadiliane .
Wanamkakati wa "Slogan" hii wanadhani inaviashiria vya "Sense of ownership" kwa watanzania wote? je itawafanya watanzania wote bila kujali tofauti zao kusema hii yetu,tuilinde,tuifie,tuichangie?
Kwa nia njema kabisa,tuitazame upya hii Slogan kimkakati kibiashara,kama ni kweli imeandikwa ili iwe na "Sense of Ownership".pamoja na "International marketing eye".Karibu Tujadiliane.kwa Unyenyekevu na nia njema kabisa na uweledi wa hali ya juu.
Ipo siku itakuja ndege nyingine na wanamkakati wetu wataiandika "WATAPATA TABU SANA"na tutaona sawa tu.
Nawasilisha
Kwa tuliokwenda kusoma na tukaamua kubobea kwenye maeneo machache hasa eneo la "BRANDING" tunapata shida sana.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] siyo wadigo tu[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 807337
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaaa halafu wameifanya iwe ndio kawaida kumbe wanapotosha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]*kuna wadada ukihesabu Vitanda walivyo lalia mwaka huu Vinatosha kabisa kuanzisha hostel*
*DADA ZANGU KUMBUKENI MUNGU ANAWAONA!*
[emoji3] [emoji3]Serikali ya Tanzania yatishia kuiadhibu Twaweza kwa sababu ya utafiti wa Sauti za Wananchi
Maajabu yanaendelea...Serikali ya Tanzania imeitaka taasisi ya utafiti isiyo ya kiserikali ya Twaweza kueleza ni kwa nini ilifanya utafiti kuhusu maoni ya wananchi 'bila kibali'.