Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23] just utani bro,,, ila pointi ya msingi hapa kwann wanapata sana saratan ya matt na ngozi,, inaweza kuwa vipodozi wanavyotumia hii ni hatari sana
Ya yah .. Gues ni hiyo. Hawa kina dada wa kazi hii wanamaisha ya ajabu kidogo .. Pengine hata ile kubadili vipodozi, mazingira mara nyingi nyingi inaweza kua sababu pia. Makeups na vipodozi pia hutumiwa kulinga na mazingira/hali ya hewa ya sehemu husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…