Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu Wiz Khalifa wa siku hizi anaimba siyo kama huyu wa zamani.
Hebu msikilize hapa mwaka 2010...

1. Too Late- Wiz Khalifa


2. This Plane- Wiz Khalifa (Huu alitengeneza biti mwenyewe)


CC: ningendako , Cole Williams , Davet
Kabsa mkuu,, huyu wa sasa amekuwa tofauti sana hana zle lyrics heavy, hata Flow style kaishiwa

Malcom Lumumba unaikumba hii pia

 
Back
Top Bottom