Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu Wiz Khalifa wa siku hizi anaimba siyo kama huyu wa zamani.
Hebu msikilize hapa mwaka 2010...

1. Too Late- Wiz Khalifa


2. This Plane- Wiz Khalifa (Huu alitengeneza biti mwenyewe)


CC: ningendako , Cole Williams , Davet

Kweli mkuu kawa mlaini mnoo siku hzi au anaendana na soko la sasa vijana tunavyotaka. Kush Up naipenda kuliko nyimbo zake zoote
 
Welcome to [emoji397] Duta's [emoji397] LIVE game coverage

[emoji471] *FIFA World Cup*
[emoji460] *[emoji1082]CRO vs ENG*

CRO[emoji1082]
23 Danijel Subasic
21 Domagoj Vida
6 Dejan Lovren
11 Marcelo Brozovic
3 Ivan Strinic
2 Sime Vrsaljko
7 Ivan Rakitic
10 Luka Modric
4 Ivan Perisic
18 Ante Rebic
17 Mario Mandzukic

ENG
1 Jordan Pickford
5 John Stones
6 Harry Maguire
2 Kyle Walker
8 Jordan Henderson
20 Dele Alli
7 Jesse Lingard
18 Ashley Young
12 Kieran Trippier
9 Harry Kane
10 Raheem Sterling

Nipo siti ya mbele kabsa
IMG-20180711-WA0044.jpg
IMG-20180711-WA0042.jpg
tapatalk_1530601934087.jpeg
 
Uwanja huu umekuwa na furaha na majonzi.

Licha ya kuwa mwenyeji wa Olimpiki 1980 na kuwalaki zaidi ya mashabiki 100,000, miaka miwili baadaye, watu 66 walifariki wakati mashabiki walipokuwa wakiwania kutoka nje kwenye finali ya kombe la UEFA kati ya Spartak Moscow na waholanzi HFC Haarlem.

Umewahi kuandaa fainali ya kombe la UEFA 1999 ambapo Parma iliilaza Marseille. Uwanja huu utakuwa wa tano kuandaa mechi ya fainali ya kombe la dunia, fainali ya kombe la Vilabu bora Ulaya, pamoja na mashindano ya Olympiki.

Usisahau, mmoja kati ya hawa atarejea hapa kwa minajili ya kucheza fainali Jumapili, 15 Julai.
 
Uwanja wa Luzhniki, Moscow
Croatia itavaana na England katika Uwanja huu.

Unakumbuka mechi ya fainali ya vilabu bingwa ulaya 2008 kati ya Manchester United na Chelsea ambayo United ilishinda kupitia mikwaju ya penalti? Basi huu ndio uwanja ulioandaa ngarambe hiyo.

Kubwa zaidi ya viwanja vyote, Luzhniki, ulioko Moscow, Ulifunguliwa 1956 kabla ya kukarabatiwa na kuzinduliwa tena 2018.
 
Back
Top Bottom