Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wenye kujua wamesha taja
9806267595530104cf36d730a730bca7.jpg
 
HUYU NDIYE MTANZANIA ALIYESHIRIKI UUNDWAJI WA NDEGE MPYA YA DREAMLINER: Mtanzania George Jonas ndiye Mhandisi wa umeme aliyekuwa na jukumu la kuangalia mfumo wa kiusalama wa umeme katika ndege mpya ya Dreamliner.

Anafanya kazi katika Makao Mkuu ya Kampuni ya Boeing Settle ,Washington, Marekani.

George Jonas ni mwenyeji wa Mkoa wa Mbeya na ndiye aliyekuwa miongoni mwa maafisa wa kiufundi aliyehusika katika utengenezaji wa ndege hiyo yenye viti 262, kwa jina Boeing 787-8 Dreamline.

Mhandisi George ni mtoto wa mwanajeshi mstaafu, Labani Mwanjisya ambaye safari yake ya masomo ilianzia pale Shule ya msingi Ubungo na baadaye kuendelea na elimu ya Sekondari Azania na kisha alijiunga na elimu ya kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Ilboru ambapo alichukua masomo ya Fizikia, Chemia na Hisabati.

Mara baada ya kuhitimu masomo yake ya kidato cha sita alibahatika kupata fursa ya kwenda Marekani kwa masomo zaidi baada ya kundi moja la Wamarekani waliokuwa wakitafuta kijana wa Kitanzania mwenye maono kumchagua yeye.

Mwenyewe anasema, ilikuwa kama bahati kwake kwani kwa wakati huo wazazi wake hawakuwa na uwezo wa kumpeleka masomoni ughaibuni.
Picha plz
 
Gwiji wa zamani wa soka nchini Mexico, Jorge Campos, ameonesha kumzimikia zaidi kipa wa England, Jordan Pickford lakini ametahadharisha kuwa kipa huyo, ategemee upinzani mkubwa kutoka kwa kikosi cha Croatia, watakapokutana usiku wa leo, katika mechi ya nusu fainali ya pili.
 
Campos alisema kipa huyo amefanikiwa kuibeba England kwa kiasi kikubwa tangu michuano hii ianze, akichomoa michomo mingi, lakini kuna haja ya kujiandaa kisaikolojia kwa sababu Luca Modric, Ivan Rakitic na Mario Mandzuikic sio watu wa mchezo mchezo.
 
Pickford ambaye anakioiga katika kikosi cha Everton aliyojiunga nayo akitokea Sunderland, alisimama imara langoni katika mchezo wa robo fainali ya kwanza dhidi ya Sweden. Pia alifanikiwa kuwazuia Belgium kufanya madhara zaidi licha ya kufungwa 1-0 katika mchezo wa mwisho wa makundi.
 
Kutokana na hilo, Campos ambaye aliichezea Mexico mechi 130, ikiwa ni pamoja na fainali za Kombe la Dunia, zilizofanyika huko Marekani mwaka 1994 na ile ya 1998 (Ufaransa), alisema kipa huyo mwenye umri wa miaka 24, amethibitisha thamani yake mpaka sasa.
 
Unapozungumzia ubora, ni ngumu kuacha kumtaja Pickford, yuko vizuri sana japo kibarua kigumu kinamsubiri leo usiku. Kuna makipa wengine pia kama Thibaut Courtois na Hugo Lloris lakini huyu wa England yuko vizuri sana," alisema Campos
 
Back
Top Bottom