[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ugumu uko wapi?...
"Habari yako dada,kondomu za vipele vipele zipo?...'nzuri.....ziipoooo' ... Poa nipe paketi tatu,sio zile zinazo pasukiamo".
NaaammmmmUSIKU wa jana Jumanne usiku, Julai 10, mwaka huu, Dimba la Saint Petersburg, ukiwa umejaa watazamaji 67,000, wengi wao wakiwa ni watu weusi wenye asili ya bara la Afrika, nusu yao wakiwa ni Wazungu kutoka Ubelgiji na mataifa mengine ya Ulaya, walishuhudia kifo cha Ubelgiji katika mikono ya 'Mwafrika'.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]USIKU wa jana Jumanne usiku, Julai 10, mwaka huu, Dimba la Saint Petersburg, ukiwa umejaa watazamaji 67,000, wengi wao wakiwa ni watu weusi wenye asili ya bara la Afrika, nusu yao wakiwa ni Wazungu kutoka Ubelgiji na mataifa mengine ya Ulaya, walishuhudia kifo cha Ubelgiji katika mikono ya 'Mwafrika'.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakiwa hawana habari, akili zao wakiwa wamezielekeza katika kuwazuia Olivier Giroud, Antoine Griezmann, Paul Pogba na Kylian Mbappe, vijana wa Roberto Martinez, walijikuta wakilizwa na mtu wasiyemtarajia kabisa.
Haya buanaHaraka sana baada ya kumalizika kwa mchezo ule, nikiwa nimeridhika kuwa Ufaransa wametinga fainali, kama kawaida, nikawasha tarakilishi yangu na kuanza kazi ya kutafuta habari za muuaji yule. Katika kuperuzi hapa na pale, nikagundua kumbe yule muuaji aliyeitoa roho ya Ubelgiji, ni ndugu yetu kabisa.