Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe unakuja na vyeti vyako vinaonyesha +ve unapata dozi ukimaliza kapime lete majibu ikiwa -ve pesa mbele kama tai 100k gharama ndogo kabisa
Kama hana uwezo wa kumiliki vifaa vya kimaabara vya kienyeji kujua jinsi ukimwi unavyoshambulia, na kujua njia za kuongeza CD4, huyo jamaa atakuwa muongo tu. Labda kama mnataka kupiga watu. Kama ni upigaji anzeni kujitangaza
 
FB_IMG_1531036606644.jpg

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu believe me Mzee anatibu
 
Back
Top Bottom