Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
.Wapendwa wa Mungu
Salaam mkuu konge
......is my shepherd...The Lord [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Likes za usiku kama huu huwa tamu mno[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole ambao mnakosa uhondo huu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Goodnight team England
Umekuja mkuu...?
Safi mkuu.Sema kamanda
Mambo.Mkuu
SafiSalama kiongozi, za kwako?
Ulikuwa chapter ipi mkuu?Niko huku sasa.
Shwaiiiiniiii zao....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]England wapenda sifa, kujisifia kuwa wanajua sana mpira, hawana jinsi wasubiri mechi ya mshindi wa tatu na nne. Naamini hawatarudi London mikono mitupu, hata wakipata kuwa washindi wa nne watajisifia tu
Nilisema miye. Mtapata taabu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ufaransa nao wakizingua shwaini zao kabisa..