NILISOMANAE YULE
Senior Member
- Mar 6, 2018
- 172
- 173
NO ONE SAW THIS COMINGHatimaye ni FRANCE vs CROATIA. Mataifa mengine 30 yametupwa huko. Wasubiri miaka 4 ijayo
NO ONE SAW THIS COMINGHatimaye ni FRANCE vs CROATIA. Mataifa mengine 30 yametupwa huko. Wasubiri miaka 4 ijayo
Ufaransa nao wakizingua shwaini zao kabisa..Team france mambo murua kabisa kwetu[emoji23][emoji23][emoji23]
Tutandaziane mkeka. Croatia wakishinda nakulalia. France wakishinda unanilalia [emoji16][emoji16][emoji16]
Mko tu.Safi mkuu, kwema?
Kabisa.Morning team France
Tukutane final na Croatia
Yamekuwa hayo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ufaransa nao wakizingua shwaini zao kabisa..
Kufungwa kwa England, ulitabiri ushindi wake kwa tarakimu ulizoonyesha[emoji3] [emoji3] ufafanuzi plsKuhusu nini?[emoji23]
Mkuu habari yako
WakuuPamoja mkuu