Ulitaka tusimame???England bado wamelala...
hahahaaaa....Ulitaka tusimame???
[emoji23][emoji23]
Wenzako wamelala bado [emoji2][emoji2]Ulitaka tusimame???
[emoji23][emoji23]
Hii si ipo kwenye Rolling Papers ???Kabsa mkuu,, huyu wa sasa amekuwa tofauti sana hana zle lyrics heavy, hata Flow style kaishiwa
Malcom Lumumba unaikumba hii pia
Hawa unawafahamu ??Kweli mkuu kawa mlaini mnoo siku hzi au anaendana na soko la sasa vijana tunavyotaka. Kush Up naipenda kuliko nyimbo zake zoote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], walale tu kwakweliWenzako wamelala bado [emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaaaa....
Wewe kipigo hakikuuma sana eeeh?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], walale tu kwakweli
RIP kijana..
Ahsante, na kwako pia.Siku njema wapendwaView attachment 807773
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Wewe kipigo hakikuuma sana eeeh?
[emoji120] [emoji120]Ahsante, na kwako pia.