Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shirikisho la soka la kimataifa (Fifa) limetoa mwaliko kwa timu hiyo kwenda kuhudhuria mechi ya fainali ya Kombe la Dunia 2018 Jumapili, lakini madaktari wanaowatibu walisema kwamba wanahitaji kusubiri hospitalini kwa walau wiki moja kurudi kwenye afya timamu baada ya kukaa ndani ya pango hilo na tena kwenye mazingira magumu kwa muda mrefu.
 
Asante kwa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…