mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kieran Trippier dakika ya 5 Croatia 0-1 England
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiii*wadada wengi hawapokei video call ikifika saa 3 usiku.. [emoji3][emoji3]unajua kwa nini? Sura zao zinakuwa zimerudi kwenye factory setting.*
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo nmeenda Mahakaman, Mara Judge akaxema: "Order!! Order!!...
mimi na kiherehere changu nkasema chapat na Fanta
Orange 3...
Nimewekwa kwa KaRoom kengne hapa Kanagiza.....
I think wananiandalia Chapati" [emoji3][emoji135][emoji135]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*Ni Tanzania pekee unakutana na mtu amezunguka kutwa nzima anapigwa jua[emoji559][emoji560] huku anauza kitabu[emoji433]kilichoandikwa*
*NJIA YAKUWA BILIONEA KWA MTAJI MDOGO*
Tazama ramani utaona nchi nzuri,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiii
Matagi yassoda namkumbuka sana huyu mama kwenye nyanja ya michezo RIPMkurugenzi wizara ya habari na michezo mama Juliana Matagi Yassoda amefariki leo hii ghafla akiwa kwenye majukumu yake ya kikazi.
Marehemu alihamishiwa Wizara ya Elimu,sayansi na teknolojia.
Kafariki akiwa ofisini kwake..
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, AMEN
Bwana ametoa Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe.
Inasikitisha sana.Matagi yassoda namkumbuka sana huyu mama kwenye nyanja ya michezo RIP