Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamani mapenzi haya... Ona mwenzetu Askari Polisi wa kituo cha Natta, wilayani Serengeti mkoani Mara, bw. Nelson William kagombana na Amina mpaka kujipeleka kujitoa uhai kwa hiari yake mwenyewe, na hiyo barua ndo kaiacha... - Poleni wote mnaoumwa na wapenzi mpaka kuchukua maamuzi mbalimbali magumu. - - Tumpendeni Mungu zaidi ndo dawa ya kuepuka mabalaa mengi kama haya na mengineView attachment 807983
wewe....
 
Sijawai elewa shida ya madem hua nini..ukitaka kupiga mechi sijui ati ni lazma washikwe oesophagus,loop of henle,appendix,kidney na duodenum ndio wakue turned on..mwanaume unashikwa tu shati and boom mjuols imeshasimama akimbo
Mimi huwa hakuna haja ya kunishika, nguo yake ya ndani ikiwa nyeupe basi mimi mtarimbo wangu unasimama tu.
 
Jamani mapenzi haya... Ona mwenzetu Askari Polisi wa kituo cha Natta, wilayani Serengeti mkoani Mara, bw. Nelson William kagombana na Amina mpaka kujipeleka kujitoa uhai kwa hiari yake mwenyewe, na hiyo barua ndo kaiacha... - Poleni wote mnaoumwa na wapenzi mpaka kuchukua maamuzi mbalimbali magumu. - - Tumpendeni Mungu zaidi ndo dawa ya kuepuka mabalaa mengi kama haya na mengineView attachment 807983
Aisee! Kwa kweli kila mtu ana kiasi chake cha uvumilivu ....R.I.P
Kufa kwingine kwa kizembe sana....
 
Jamani mapenzi haya... Ona mwenzetu Askari Polisi wa kituo cha Natta, wilayani Serengeti mkoani Mara, bw. Nelson William kagombana na Amina mpaka kujipeleka kujitoa uhai kwa hiari yake mwenyewe, na hiyo barua ndo kaiacha... - Poleni wote mnaoumwa na wapenzi mpaka kuchukua maamuzi mbalimbali magumu. - - Tumpendeni Mungu zaidi ndo dawa ya kuepuka mabalaa mengi kama haya na mengineView attachment 807983
R.I.P
IMG-20180712-WA0000.jpg
 
Aisee kweli mapenzi hayana mbabe. Mungu amrehemu tu
 
Back
Top Bottom