Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa kutua Juventus, Ronaldo ana uhakika wa kuongeza mataji katika kabati lake ambalo limejaa mataji tangu akiwa Manchester United. Juventus imekuwa ikitawala soka la Italia kwa nguvu kubwa na kwa sasa imetwaa mataji saba mfululizo ya Ligi kuu ya Italia.