Tatizo lilianzia mwaka mmoja uliopita, Perez alisema angemuongezea Ronaldo mshahara. Cristiano alikuwa anasubiria ofa na wakati huohuo Messi akapata mkataba mpya ambao ulimuingizia Euro 41 milioni kamili kwa mwaka, Neymar Euro 35 milioni kamili kwa mwaka, yeye alikuwa anaingiza Euro 21 milioni kwa mwaka.”