Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
IMG-20180712-WA0005.jpg
 
*Unaenda UKWENI*..
*Asubuhi unakaribishwa chai unaandaliwa wa kwanza,* *mezani unakuta kuna sahani* *ina chapati 3.. Wewe unazila zote.*

*Wakati unamalizia kula ile chapati ya 3, baba mkwe nae anakuja kukaa mezani alafu anafoka Mbona hawajaleta chapati..*

*Mama mkwe anajibu kwa nguvu zimeshaletwa hapo mezani kila mtu chapati moja moja.*.

*Hapo ndipo utakapojua kupambana na hali yako ni nini*
 
Shearer amemwamgia sifa mlinzi wa Leicester City, Harry Maguire, akisema ndiye alikuwa mhimili wa England katika fainali za Kombe la Dunia 2018, licha ya England kung’olewa katika nusu fainali, anastahili pongezi.
 
Sijali timu kutolewa katika nusu fainali, lakini nampongeza Kocha Southgate kuwaamini kwake wachezaji wasio na majina makubwa kumetusaidia kupiga hatua, hakuna aliyetarajia kipa Jordan Pickford au mlinzi Harry Maguire wangefanya kazi nzuri hivi, kweli nampongeza kwa dhati kocha vijana hawajatuangusha,” alisema.
 
Katika michuano ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya bado haipo mbali sana ingawa mara ya mwisho ilichukua taji hilo msimu wa 1995/96. Imefika fainali mbili katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Huku ikiwa na Ronaldo nafasi yake ya kwenda mbali zaidi huenda itakuwa inaimarika.
Numbisa mambo
 
Back
Top Bottom