Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkurugenzi wizara ya habari na michezo mama Juliana Matagi Yassoda amefariki leo hii ghafla akiwa kwenye majukumu yake ya kikazi.
Marehemu alihamishiwa Wizara ya Elimu,sayansi na teknolojia.
Kafariki akiwa ofisini kwake..

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, AMEN
Bwana ametoa Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe.
 
KOCHA WA CROTIA ALIONGEA HAYA BAADA YA USHINDI WA 2-1 KWA ENGLAND.

Sultà tïñg dàré lïgà dàm jàg fllés dét hàr kâñ, sôççràu. Môdrïçk pâ Râçtïç vàrïflàñ vàçtéñ tèàm mà°, dôdà Èñglàñd Kééñ pà stérïñg hôlà Vïdâ hàllèl sjàkàl mïñà bààll. Déssà pà Màñzukïc hôlâ Pérvïç ñèj dôdâ dé krïmârïç, mïñâ vàrïç Fréñch nï àrï kôm ñu.

Ngoja tusubiri hiyo jumapili..
 
Matagi yassoda namkumbuka sana huyu mama kwenye nyanja ya michezo RIP
 
Jamani mapenzi haya... Ona mwenzetu Askari Polisi wa kituo cha Natta, wilayani Serengeti mkoani Mara, bw. Nelson William kagombana na Amina mpaka kujipeleka kujitoa uhai kwa hiari yake mwenyewe, na hiyo barua ndo kaiacha... - - Poleni wote mnaoumizwa na wapenzi mpaka kuchukua maamuzi magumu. - - Tumpendeni Mungu zaidi ndo dawa ya kuepuka mabalaa mengi kama haya na mengine
 
Jamani mapenzi haya... Ona mwenzetu Askari Polisi wa kituo cha Natta, wilayani Serengeti mkoani Mara, bw. Nelson William kagombana na Amina mpaka kujipeleka kujitoa uhai kwa hiari yake mwenyewe, na hiyo barua ndo kaiacha... - Poleni wote mnaoumwa na wapenzi mpaka kuchukua maamuzi mbalimbali magumu. - - Tumpendeni Mungu zaidi ndo dawa ya kuepuka mabalaa mengi kama haya na mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…