Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sergej bado mchezaji kijana, umri wake wa miaka 23 unampa nafasi ya kutamba kwenye soka kwa muda mrefu zaidi, hivyo Real Madrid inaweza kumchukua mchezaji huyo kwa ajili ya matumizi ya baadaye na si kwenda moja kwa moja kuvaa buti zilizoachwa na supastaa huyo wa Ureno, Ronaldo.