Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wakati anakwenda kwenye fainali hizo, Ronaldo alikuwa mchezaji wa Real Madrid, lakini kwa sasa ameacha vumbi huko Bernabeu, ambao wanahangaika namna ya kulituliza.
Ronaldo ametimkia Juventus kwa ada ya Euro 112 milioni na kijasho kinawatoka Los Blancos kwenye kutafuta mtu wa kuja kuziba pengo lake.
Ronaldo ametimkia Juventus kwa ada ya Euro 112 milioni na kijasho kinawatoka Los Blancos kwenye kutafuta mtu wa kuja kuziba pengo lake.