PamojaNdio nilifikiri hivyo...
Asante
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umenichekesha[emoji23][emoji23][emoji23] natamani nivae viatu vyako bro
Kwani ni leo?? J'pili ndo twausubiri mtanange.Hakika usiku wa leo ni vyema ukalipa deni la mkuu
Hahah!! Wewe cheka tu ila kauli yangu imetoka moyoni kabisa. Pyaar tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umenichekesha
KiPyaar hicho. Hukifahamu?
Aisee naona wivu mpaka natamani siku zigande hiyo j.pili isifikeKwani ni leo?? J'pili ndo twausubiri mtanange.