Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!*
*Mungu atubariki sana wanaume kwa upendo wa aina hii*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha [emoji16] [emoji16] [emoji16] ndiyo maana unatupia tofauti tofauti hapa tuone uumbaji[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…