Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tai akamwambia mwindaji, nimekuleta kwenye kijiji hiki natumai utaishi maisha ya furaha mahali hapa, hata hivyo ikiwa utachoshwa na maisha ya hapa niite kwa njia hii nikufute nikurudishe kwenu. akamwelekeza kisha mwindaji akaachwa hapo kisimani ili asubiri mambo mazuri Tai akaenda zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…