Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Moud naye jana/juzi alilalamika. Eti mitego mikali inamshinda. Nikamshauri aongee na kaYego kampe ushauri au aombe kadi ya CHACHAWA moja kwa moja. Vinginevyo mauno feni hayaepukiki [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee
 
BAYERN Munich na Inter Milan pengine hazibeba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa muda sasa, lakini miamba hiyo ya Ulaya imeonyesha kuwa na rekodi tamu kwenye Kombe la Dunia.
Baada ya Croatia kutinga fainali ya Kombe la Dunia 2018 kwa kuwachaoa England, hiyo ina maana kwamba klabu hizo mbili, Bayern na Inter zimekuwa na wachezaji kwenye mechi ya fainali ya Kombe la Dunia tangu mwaka 1982.
 
Ivan Perisic na Marcelo Brozovic wote wanachezea Inter na watakuwapo kwenye mechi hiyo itakayopigwa Jumapili dhidi ya Ufaransa, ambayo itakuwa na huduma ya kiungo, Corentin Tolisso, anayechezea Bayern Munich. Cheki mastaa wa Bayern na Inter walivyotesa mechi za fainali Kombe la Dunia tangu mwaka 1982 hadi sasa 2018. Mastaa wao hawajakosa fainali.
 
Back
Top Bottom