Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee
 
BAYERN Munich na Inter Milan pengine hazibeba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa muda sasa, lakini miamba hiyo ya Ulaya imeonyesha kuwa na rekodi tamu kwenye Kombe la Dunia.
Baada ya Croatia kutinga fainali ya Kombe la Dunia 2018 kwa kuwachaoa England, hiyo ina maana kwamba klabu hizo mbili, Bayern na Inter zimekuwa na wachezaji kwenye mechi ya fainali ya Kombe la Dunia tangu mwaka 1982.
 
Ivan Perisic na Marcelo Brozovic wote wanachezea Inter na watakuwapo kwenye mechi hiyo itakayopigwa Jumapili dhidi ya Ufaransa, ambayo itakuwa na huduma ya kiungo, Corentin Tolisso, anayechezea Bayern Munich. Cheki mastaa wa Bayern na Inter walivyotesa mechi za fainali Kombe la Dunia tangu mwaka 1982 hadi sasa 2018. Mastaa wao hawajakosa fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…