capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Replies - 767,704
We lead others follow[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23], nae alitaka aonje kitu kinene kilichotuna.If he dies he dies. Shwaini zake. Kama hajiwezi si angetafuta vimbaumbau?
Safi sanaWakati mama anaogesha mwanae huku wakifurahi pamoja...View attachment 808752
Ndi nkafu jama, [emoji120][emoji120][emoji120]....Kyala ikutula jubha gwanghu,bhule bhuke uko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Kwa upande wa baba ni tofauti...kila jambo ni msisitizo...kutishana tu.View attachment 808754
Kimevaa nini kiunoni?...huku kicheko kikitawala...View attachment 808753
Mungu ni mwema ndugu yangu. Tumshukuru kwa zawadi ya pumzi anayo tupa bure pasi kutuhesabia maovu tuyafanyayo kila wakati.Kwema buraza. Za siku mbili tatu?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mungu ni mwema ndugu yangu. Tumshukuru kwa zawadi ya pumzi anayo tupa bure pasi kutuhesabia maovu tuyafanyayo kila wakati.
Laiti Mungu angeamua kutumia "cancelling method" yaani baya lifutwe na jema,hakika hata huu uzi nisingeujua...ningesha kufa zamaaani huko...mema yamezidiwa na maovu.
Kusudi la Mungu juu yetu likatimie sio sawa sawa na matendo yetu,bali vile atakavyoona inafaa[emoji120] [emoji120]
Akikujbu,, kuna swali ntakuuliza,, naomba unjbu ww hl swali ntakalokuulizaKimevaa nini kiunoni?
SawaAkikujbu,, kuna swali ntakuuliza,, naomba unjbu ww hl swali ntakalokuuliza
Ee ndufyo sibhukeghe ku Ntwa ghwa kumwanya[emoji120] [emoji120]Ndi nkafu jama, [emoji120][emoji120][emoji120]....