andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji124] [emoji124] sikujibu...unanichosha mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kidogo hivo kinabusti uji upi??
[emoji124] [emoji124] sikujibu...unanichosha mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kidogo hivo kinabusti uji upi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] sikujibu...unanichosha mimi
Hahahahaha! Kaniharibuje jamani??Pyaar??!!!!!! Una nini wewe...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shimba amekuharibu sana binti yangu
Ok. Nisamehe kwa kiherehere[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio hlo mkuu,, nmemuuliza tayali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wew mzee wew,,umekuja na mambo yako sio,,Ok. Nisamehe kwa kiherehere[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sitaki... Kama kitakua kitafuna "vitumbua" kitakoma kiuno chake na magoti...Hahahahaha! Kaniharibuje jamani??
Wewe kiangalie vizuri unipe jibu.
Baadhi ya makabila ndio...huwavalisha hicho kishanga ili kutengeneza kiuno, ili kiuno, kalio na mgongo visiungane (hapa nahisi wanielewa,- kuna watu ukiwaangalia hujui kiuno kimeishia wapi, kalio vile vile mgongo, duara si duara, hexagon si hexagon)...Nasikia hicho kishanga wanachovalishwa watt wa kike wakiwa bado wadogo et kazi yake ni kutengeneza kiuno,, yaani awe na kiuno nyigu,,, aisiwe kama gunia,,,
Ni kweli mwalimu?
Ndo ilipo kwa sasa.Jamani, hii shule ya Mama Mkamati ndio imefikia huko? [emoji134]♂️[emoji134]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitaki... Kama kitakua kitafuna "vitumbua" kitakoma kiuno chake na magoti...
Baadhi ya makabila ndio...huwavalisha hicho kishanga ili kutengeneza kiuno, ili kiuno, kalio na mgongo visiungane (hapa nahisi wanielewa,- kuna watu ukiwaangalia hujui kiuno kimeishia wapi, kalio vile vile mgongo, duara si duara, hexagon si hexagon)...
Kingekuwa kimefungwa kifundo cha kinguo tungesema ni ulinzi wa afya ya mtoto. Mara nyingi hutumia kaniki (kitambaa cheusi).
Ndagu.
Surua ni mojawapo ya ugonjwa unaozuiwa kwa njia hiyo (hata mtoto ajichanganye na wenzie namna gani hawezi ambukizwa).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tupo likizo....Subiri shule ikifunguliwa.Le Prof una utilio balaa, wa Kibantu na wa Kimagharibi! Nakata rufaa uniweke Kwa darasa lako, hata bila maua nitahudhuria! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimejishtukia mwenyewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wew mzee wew,,umekuja na mambo yako sio,,
Vipi kwema lakini huko?
Biashara ya parachichi vp
Hahahahaha! Huo uchambuzi umeenda shule kabisa...Wanajutia muda walokuwa wakiutumia kukata viuno mitaani...Ukiziangalia hizo sura zao utajua tu
1.timu Mobeto 20
2.timu Wema 11
3.timu Zari. 83
4.timu Suluhu 25
5.timu JPM 1
Kwa maana nyingine,1 mpaka 3 ni washinda instagram na ndo wachambaji wakubwa huko... 4 na 5 Mungu aendelee kuwapigania maana wana malengo na nchi yao