Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fainali za Kombe la Dunia 2018, zinazoendelea nchini Russia, zimewatajirisha wezi walioamua kutumia udhaifu na mashabiki wengi wa soka.
Polisi imesema kuwa wezi hao wamejitengenezea utajiri mkubwa kabla ya baadhi yao kunaswa wakiwa na zaidi ya Dola 1.5 milioni za Marekani, walizovuna kutokana kuendesha mchezo wa kamari bila kufuata taratibu.
 
Le Prof una utilio balaa, wa Kibantu na wa Kimagharibi! Nakata rufaa uniweke Kwa darasa lako, hata bila maua nitahudhuria! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Acha niondoke na mzigo wangu....endeleeni sasa
tapatalk_1531324679358.jpeg
 
Baadhi ya makabila ndio...huwavalisha hicho kishanga ili kutengeneza kiuno, ili kiuno, kalio na mgongo visiungane (hapa nahisi wanielewa,- kuna watu ukiwaangalia hujui kiuno kimeishia wapi, kalio vile vile mgongo, duara si duara, hexagon si hexagon)...

Kingekuwa kimefungwa kifundo cha kinguo tungesema ni ulinzi kwa afya ya mtoto. Mara nyingi hutumia kaniki (kitambaa cheusi).
Ndagu.
Surua ni mojawapo ya ugonjwa unaozuiwa kwa njia hiyo (hata mtoto ajichanganye na wenzie namna gani hawezi ambukizwa).
Shukrani mwalimu!!
Ukiwepo hakiharbiki kitu aisee, nmekuelewa vyema sana

[emoji23][emoji23][emoji23]et hexgon sio hexgon duara sio duara,, una maneno ww
 
Kwa mujibu wa gazeti la Xinhua, Serikali ya China iliendesha msako baada ya kupata tetesi za kuwepo watu wengi wanaochezesha kamari za kutabiri washindi mbalimbali wa mechi za Kombe la Dunia.
Polisi imebainisha kuwa badhi ya wahusika walitiwa nguvuni Julai 11 mwaka huu, hata hivyo Polisi imekataa kuwataja wahusika kwa kuhofia kuvuruga upepelezi.
 
Msemaji wa Polisi Jimbo la Guangdong, amesema watahakikisha wanawanasa wote waliojihusisha na mitandao hiyo ya wizi wa kutumia kamari kutabiri matokeo.
“Tunafahamu kuwa wezi hawa waliendesha kamati yao kwa zaidi ya miezi minane kupitia mtandao na kujipatia wateja zaidi ya 333,000 na inadhaniwa wamevuna zaidi ya dola 1.5 bilioni,” ilisema taarifa hiyo
 
Ukiziangalia hizo sura zao utajua tu
1.timu Mobeto 20
2.timu Wema 11
3.timu Zari. 83
4.timu Suluhu 25
5.timu JPM 1
Kwa maana nyingine,1 mpaka 3 ni washinda instagram na ndo wachambaji wakubwa huko... 4 na 5 Mungu aendelee kuwapigania maana wana malengo na nchi yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aise,, na huu ndio ukweli wenyewe japo baadhi ya wazaz hawataki kukubaliana na hl
 
UNAWEZAJE kushinda kwa takwimu hizi? England kwa dakika 120 ilizocheza na Croatia kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia usiku wa juzi Jumatano kule Moscow, Russia, ilipiga mashuti mawili tu kulenga goli la wapinzani wao.

Croatia wenyewe walipiga mashuti saba kwenye goli la England. Hivyo ndivyo Croatia walivyojaribu ambapo kwa mechi nzima walipiga mashuti 18, ambapo 11 yalipita mbali na goli la Waingereza.
 
England wao, mashuti yao ya jumla yalikuwa 10, manane yalipita mbali na goli.

Wakati fainali hizo za Kombe la Dunia zikitarajia kufika tamati keshokutwa Jumapili kwa fainali itakayozikutanisha Ufaransa na Croatia, hii ndiyo orodha ya timu tano zilizopiga mashuti mengi kwenye fainali hizo na kuacha kumbukumbu ya kipekee kabisa.
 
5.Ufaransa - mashuti 75, mabao 11

Wakati kikosi cha Les Bleus kikifanikiwa kutinga fainali yake ya tatu kwenye Kombe la Dunia ndani ya miaka 20, kimekuwa na kikosi bora kabisa huko Russia jambo linalowafanya wapewe nafasi ya kubeba ubingwa.
 
Kwenye michuano hiyo kwa mechi sita ilizocheza, Ufaransa imepiga mashuti 75, huku mashuti yake 24 yakilenga goli na kuvuna mabao 11. Staa wake, Antoine Griezmann, ndiye aliyehusika kwenye mabao mengi, akifunga matatu na kuasisti mawili, huku akiwa amepiga mashuti 17, tisa yakiwa yamelenga goli.
 
4.England - mashuti 81, mabao 12

Kikosi cha Three Lions kilikuwa na matarajio makubwa ya kufika fainali na pengine kubeba ubingwa katika fainali hizi za Kombe la Dunia kabla ya ndoto zake kumalizwa na Croatia, iliyowachapa 2-1 kwenye mchezo wa nusu fainali.
 
Back
Top Bottom