Pyaar... Wi nidi tu tokuHahahahaha! Asante kwa kuelewa.. hata kifua sometimes mtoto akiwa mdogo (ke) anatengenezwa.....Kuna jinsi ya kumbeba pia akiwa mdogo ili asiharibiwe mabega na kifua (jinsia zote) .....
Hii ilikuwa yazingatiwa sana na bibi +mama zetu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], uliulizwa biashara zako, Andjul na biashara zake.Hata sijui ningendako aliniuliza nini!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kusinyaa tena,,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Andjul hafai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Wewe ni chiboko!
Hahahahaha! Yu a welokamuPyaar... Wi nidi tu toku
Sikumuelewa jamaniiiii mwee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi nikakurupukia kwenye pasono ishu... Nisamehe ningendako kijana wangu mpole[emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], uliulizwa biashara zako, Andjul na biashara zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiziangalia hizo sura zao utajua tu
1.timu Mobeto 20
2.timu Wema 11
3.timu Zari. 83
4.timu Suluhu 25
5.timu JPM 1
Kwa maana nyingine,1 mpaka 3 ni washinda instagram na ndo wachambaji wakubwa huko... 4 na 5 Mungu aendelee kuwapigania maana wana malengo na nchi yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikumuelewa jamaniiiii mwee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi nikakurupukia kwenye pasono ishu... Nisamehe ningendako kijana wangu mpole[emoji120]
WoyoooohBaadhi ya makabila ndio...huwavalisha hicho kishanga ili kutengeneza kiuno, ili kiuno, kalio na mgongo visiungane (hapa nahisi wanielewa,- kuna watu ukiwaangalia hujui kiuno kimeishia wapi, kalio vile vile mgongo, duara si duara, hexagon si hexagon)...
Kingekuwa kimefungwa kifundo cha kinguo tungesema ni ulinzi kwa afya ya mtoto. Mara nyingi hutumia kaniki (kitambaa cheusi).
Ndagu.
Surua ni mojawapo ya ugonjwa unaozuiwa kwa njia hiyo (hata mtoto ajichanganye na wenzie namna gani hawezi ambukizwa).