Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hovyo kabisa. Watoto wa mjini...Si ajabu wanashinda IG na FB....
Hovyo kabisa. Watoto wa mjini...Si ajabu wanashinda IG na FB....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu karibu,naona unajiongelesha kipweke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha! Mgongo na kiuno lazima vionekane kwakweli...Aisee, hii ya kifua sikuwa nafahamu hapo mwanzo, umenfumbua kwa kweli,,,, hope kile kibinti chako kitakuwa na mgongo wa hatari [emoji23][emoji23]
Kweli kabsa,, fainali uzeeni [emoji23][emoji23]Uzee kijana wangu... Yatakukuta hata wewe[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ona sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ati nini?
Unayeharibu watu hapa ni wewe. Hata Papa akija hapa hachukui mwezi atakuwa amelijua chenza la Andjul. Parachichi. Saksafoni zito nene refu zito. Sasa kuna fenesi la Andjul. Na uji mweupe mzito wa moto unaopaswa kunywewa ukitoka tu jikoni azawaisi unageuka na kuwa wota...na mengine mengi. Usinisingizie mimi buraza...
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio mkuu labda mechi ya final iharibike isitoe matokeo[emoji124] [emoji124] jumapili mlaliano...
Simu mpaka darasaniHovyo kabisa. Watoto wa mjini...Si ajabu wanashinda IG na FB....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nmekusamehe mzee wangu!! tatzo umr umekutupa mkono [emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani mzee wangu!! Hakika Mungu ni wakumtumainia kwa kila jambo[emoji120] [emoji120] [emoji120]Pambana sana. Usiache kumtegemea Mungu, amini kila jambo ni uweza wa Mungu aliye hai[emoji120]
Amen.Nmekusamehe mzee wangu!! tatzo umr umekutupa mkono [emoji23][emoji23][emoji23]
Hopulesi styudenti !!!Hata tuition mko likizo? Nimekuwa fired up kweli kweli! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]m toku nn ww mzee,, umeshaanza
Fainali uzeeni[emoji23]Uzee kijana wangu... Yatakukuta hata wewe[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umekuta darasa limejaa ama?Le Prof una utilio balaa, wa Kibantu na wa Kimagharibi! Nakata rufaa uniweke Kwa darasa lako, hata bila maua nitahudhuria! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Yap nishaviona vingi tu huku,, huwa sijui tatzo nn,, kwa hyo mama zao wale watt wanaokuwa hvyo hl darasa wanakuwa hawakufahamu au kupuuzia tu mambo hayaHahahahaha! Mgongo na kiuno lazima vionekane kwakweli...
Ushawahi kuona kitoto ni kidogo lakini kifua kimetangulia mbele kama chanyenyua vyuma??? + mabega yapo juu juu....Akiwa anakua asipojirudi vizuri anakua vilevile.....kifua kinanakuwa kimetangulia mbele ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu karibu,naona unajiongelesha kipweke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]imenibidi tu nicheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] nahisi kama kutakuwa na "sirii ninii?" msipo toana ngeu mapema. Msukuma amegoma kuiuza...[emoji23][emoji23][emoji23] ndio mkuu labda mechi ya final iharibike isitoe matokeo
Ukiamua kuwa na busara unakuwa na busara kweli kweli...na ukiamua kufyatuka unafyatuka kweli kweli. Yote uliyosema ni kweli na jina la Mungu na lihimidiwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mungu ni mwema ndugu yangu. Tumshukuru kwa zawadi ya pumzi anayo tupa bure pasi kutuhesabia maovu tuyafanyayo kila wakati.
Laiti Mungu angeamua kutumia "cancelling method" yaani baya lifutwe na jema,hakika hata huu uzi nisingeujua...ningesha kufa zamaaani huko...mema yamezidiwa na maovu.
Kusudi la Mungu juu yetu likatimie sio sawa sawa na matendo yetu,bali vile atakavyoona inafaa[emoji120] [emoji120]