Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha! Asante kwa kuelewa.. hata kifua sometimes mtoto akiwa mdogo (ke) anatengenezwa.....Kuna jinsi ya kumbeba pia akiwa mdogo ili asiharibiwe mabega na kifua (jinsia zote) .....

Hii ilikuwa yazingatiwa sana na bibi +mama zetu....
Aisee, hii ya kifua sikuwa nafahamu hapo mwanzo, umenfumbua kwa kweli,,,, hope kile kibinti chako kitakuwa na mgongo wa hatari [emoji23][emoji23]
 
Pyaar??!!!!!! Una nini wewe...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shimba amekuharibu sana binti yangu
Ati nini?

Unayeharibu watu hapa ni wewe. Hata Papa akija hapa hachukui mwezi atakuwa amelijua chenza la Andjul. Parachichi. Konokono. Saksafoni zito nene refu zito. Sasa kuna fenesi la Andjul. Na uji mweupe mzito wa moto unaopaswa kunywewa ukitoka tu jikoni azawaisi unageuka na kuwa wota...na mengine mengi. Usinisingizie mimi buraza...
 
Back
Top Bottom