Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimemwambia aende kwenye uwanja wake jamani. Hata nyasi za kuzinduliwa kwake hazijakauka kule kha !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji16][emoji16] mkuu SYB hana shida mpaka kufikia kesho jioni atakua kishavuta mzigo wakati mimi nasubiri j.pili mlaliano
Ati nini?

Sijawahi ona hii. Mkeka nitandaze miye halafu weye utoke huko uje kudandia...

Subiri Jumapili ipite nawe utandaze mkeka wako. Bado kuna ligi zingine hapa hapa kwetu Bongo. Tandaza mkeka hata kwenye michezo mingine mf. ngumi n.k.
 
446328413_195743.jpg
 
Hahahahaha! Eti shapeless ...Kuna wengine ni shape zao tu...
Kuna wengine wanajibebea tu...ili mradi ...lakini mama/bibi mhenga akimuona mtoto yule utamsikia anagusia kuhusu ubebwaji wake....Hata vichwa, unakuta mtoto kimekaa tenge......Huwa wanavitengeneza (kilingane)
Lecture za leo zko nondo kweli kweli,, sijutii kuchukua form yako ya darasa,,

Wadada wa siku hz bhna ni wachache sana haya mambo kuyafahamu,, wao wanachokijua wakifanikisha kujfungua salama,, na kitoto kikawa na muonekano +kichwa cha kunyolewa kiduku bhasi kamaliza,, huko IG,FB whatsapp full kuuzishwa sura kumbe kuna vtu vya msingi km wanatakiwa kufatilia...
Live Longer Pyaar,,, [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Hahahahahhaha [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom